• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • SOKA WANAWAKE: Fainali za AWCON 2018 kupigwa kesho

    (GMT+08:00) 2018-11-30 08:34:58

    Jumamosi Fainali ya mashindano ya soka upande wa wanawake AWCON yam waka huu inafikia tamati kesho kwa mchezo wa fainali kupigwa mjini Accra Ghana kati ya timu ya taifa ya soka ya wanawake ya Falcons ya Nigeria itakapovaana na timu ya soka ya taifa ya Afrika kusini Banyana Banyana.

    Leo kutachezwa mchezo wa kutafuta mshindi wa tatu kati ya timu ya taifa ya Cameroon na Mali.

    Kocha mkuu wa Banyana Banyana Ellis Eager amesema anakiamini kikosi chake kuwa ni bora na anatarajia ushindi mnono dhidi ya Nigeria.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako