• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Ethiopia: Mashirika ya ndege ya Ethiopia ya shinda Tuzo ya shirika Bora

    (GMT+08:00) 2018-11-30 20:17:33
    Mashirika ya ndege ya Ethiopia imeshinda tuzo ya Shirika Bora zaidi la ndege Afrika kwa mwaka wa saba mfululizo.

    Afisa Mtendaji Mkuu wa Mashirika ya ndege ya Ethiopia, Tewolde GebreMariam, amesema walifurahi kushinda tuzo kwa mara nyingine tena.

    Aidha amesema Katika kipindi cha miaka saba iliyopita tumekuja tuzo meweza kupokea tuzo hii.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako