• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Ligi Kuu Uingereza (EPL): Chelsea yaonyesha makucha, Arsenal yaifumua Spurs

    (GMT+08:00) 2018-12-03 09:03:17
    Ligi kuu ya Uingereza imeendelea mwishoni mwa wikiendi kwa michezo miwili kupigwa, Chelsea wanaojulikana kama the Blues wameonyesha makucha kwa kuibamiza Fulham magoli 2-0 mchezo uliochezwa uwanja wa Stamford Bridge mjini London.

    Mchezo mwingine ulikuwa kati ya Arsenal na Tottenham Hotspurs, Arsenal imeifumua Tottenham kwa goli 4-2.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako