• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Zimbabwe kulipa madeni ya benki ya dunia na AfDB kabla ya mwisho wa 2019

    (GMT+08:00) 2018-12-03 20:12:25

    Serikali ya Zimbabwe imesema inapanga kumaliza kulipa madeni yake yote kwa benki ya dunia na beni ya maendeleo ya Afrika AfDB kabla ya mwisho wa 2019.

    Waziri wa fedha Mthuli Ncube amesema serikali ina mipango kadhaa ya kulipa madeni hayo ambayo yamezuia Zimbabwe kujihusisha kwenye soko la mtaji wa kimataufa kwa muda mrefu.

    Mwaka jana Zibabwe ililipa deni lake la dola milioni 108 kwa shirika la fedha duniani lakini deni lake kwa jumla ni dola bilioni 6.

    Ncube amesema baada ya kulipa madeni hayo serikali itaanza mpango wa kulipa madeni mengine kama vile Paris Club.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako