• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Michuano ya Klabu Bingwa Afrika na kombe la Shirikisho barani Afrika: Mechi za marudiano kupigwa wiki hii

    (GMT+08:00) 2018-12-04 08:42:02
    Timu ya Simba ya Tanzania imeondoka nchini humo kupiga kambi Afrika Kusini tayari kwa mechi yake ya marudiano na Mbabane Swallows ya Eswatini itakayopigwa hii leo jijini Mbabane Eswatini. Mchezo wa awali Simba iliibuka na ushindi wa magoli 4-1 chezo uliopigwa jijini Dar es salaam Tanzania.

    Nayo Mtibwa Sugar ya Tanzania imeondoka jana nchini Tanzania kuifuata Northern Dynamo ya Shelisheli katika harakati za kuwania kufuzu hatua ya awali ya mashindano ya kombe la shirikisho barani Afrika, mchezo wa awali wakata miwa wa Mtibwa waliitungua Shelisheli kwa jumla ya mabao 4-0.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako