• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Ushirikiano wa kunufaishana kati ya China na Afrika watoa mchango mkubwa katika maendeleo ya Afrika

    (GMT+08:00) 2018-12-04 18:31:07

    Msemaji wa Wizara ya mambo ya nje ya China Bw. Geng Shuang amesema, takwimu zimethibitisha kuwa ushirikiano wa kunufaishana kati ya China na nchi zinazoendelea zikiwemo za Afrika umehimiza maendeleo ya uchumi wa huko.

    Hivi karibuni, kituo cha redio cha Marekani NPR kilinukuu utafiti mpya uliotolewa na chuo cha William & Mary cha Marekani ukisema, ujenzi wa miundombinu ya umeme ambao China imeshiriki umeleta mwanga kwa maeneo mengi ya huko. Utafiti huo pia umesema, miradi ya miundombinu ya China katika nchi zinazoendelea hasa barani Afrika imehimiza maendeleo ya huko.

    Bw. Geng amesema, China inaunga mkono vyombo vya habari na taasisi za utafiti kufanya ripoti na tathmini sahihi kuhusu ushirikiano kati ya China na Afrika. Pia ameongeza kuwa mafanikio yaliyopatikana katika ushirikiano huo yamepongezwa na serikali za nchi za Afrika na watu wake.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako