• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • SOKA: Wambura atinga TFF, Viongozi wamkwepa, mwenyewe afunguka

  (GMT+08:00) 2018-12-05 09:20:05
  Kamati ya rufaa ya shirikisho la mpira wa miguu Tanzania(TFF) kupitia Kamati ya maadili ya shirikisho hilo ilimfungia maisha, aliyekuwa makamu wa rais wa shirikisho hilo Michael Wambura.

  Hali ilipelekea Wambura kukataa rufaa mahakamani ambapo mahakama kuu ilitengua uamuzi huo.

  Wambura alifika katika ofisi za TFF kwa lengo la kurudi ofisini kama ilivyoamuliwa na mahakama kuu ya Tanzania Novemba 30 mwaka huu, na hivi ndivyo alivyokutana na waandishi wa habari jana katika ofisi za shirikisho hilo

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako