• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Russia yasema Marekani inajua inafuata kwa makini Mkataba wa INF

  (GMT+08:00) 2018-12-05 10:01:29

  Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia imesema Russia inafuata kikamilifu kanuni za Mkataba wa Silaha za Nyuklia za Masafa ya Kati (INF), jambo ambalo Marekani inafahamu vizuri. Kauli hiyo imekuja baada ya Marekani na washirika wake hivi karibuni kuitaka Russia kurudisha wajibu wake wa kufuata mkataba huo. Mapema jana, waziri wa mambo ya nje wa Marekani Bw. Mike Pompeo alisema Marekani haitatekeleza wajibu wake chini ya Mkataba wa INF katika siku 60 zijazo mpaka Russia ianze kuufuata kikamilifu.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako