• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Mjumbe wa China asisitiza umuhimu wa maendeleo katika kudumisha amani

  (GMT+08:00) 2018-12-06 09:29:58

  Mwakilishi wa kudumu wa China kwenye Umoja wa Mataifa Balozi Ma Zhaoxu amesisitiza umuhimu wa maendeleo endelevu katika kutafuta amani ya kudumu, haswa katika ujenzi wa baada ya mgogoro. Kwenye mdahalo wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kuhusu ulinzi wa amani na amani ya kudumu, Balozi Ma amesema maendeleo na usalama vinapaswa kutiliwa mkazo kwa pamoja, na umaskini na maendeleo duni ni sababu kuu za migogoro.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako