• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • FKF yafunga breki maandalizi ya Harambee Stars nchini Ufaransa

  (GMT+08:00) 2018-12-07 10:13:41
  Shirikisho la Soka la Kenya (FKF) limepiga breki mipango yake ya kuandalia Harambee Stars kambi ya mazoezi na mechi ya kirafiki nchini Ufaransa hadi pale mwenyeji mpya wa Kombe la Afrika upande wa wanaume (AFCON) atakapojulikana kufikia Desemba 31, 2018.

  Katika kikao na wanahabari jijini Nairobi, Rais wa shirikisho hilo (FKF) Nick Mwendwa amesema kwamba Stars itaelekea Ufaransa ikiwa tu kombe hili likiandaliwa katika eneo la kaskazini mwa Afrika.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako