• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Baraza kuu la Umoja wa Mataifa lapitisha muswada wa suluhisho la nchi mbili kati ya Palestina na Israel

    (GMT+08:00) 2018-12-07 19:13:54

    Baraza kuu la 73 wa Umoja wa Mataifa limepitisha muswada wa azimio linalounga mkono suluhisho la nchi mbili juu ya masuala ya Palestina na Israel uliowasilishwa na Ireland.

    Mswada huo unatoa wito kutimiza amani ya kudumu, ya haki, na ya pande zote katika Mashariki ya Kati bila ya kuchelewa kwa misingi ya maazimio ya Umoja wa Mataifa. Pia unasisitiza zaidi uungaji mkono wake wa suluhisho la nchi mbili kutatua suala la Palestina na Israel, chini ya msingi wa mpaka uliowekwa mwaka 1967.

    Muswada huo umepitishwa kwa kura 156 za ndio, kura 6 za hapana, na kura 12 zilizoharibika.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako