• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Ziara ya kirafiki yenye umbali wa kilomita elfu 40 yaifanya dunia ikutane na utamaduni wa China

    (GMT+08:00) 2018-12-09 20:40:32

    Kuanzia tarehe 27 Novemba hadi tarehe 5 Desemba, rais Xi Jinping wa China alifanya ziara nchini Hispania, Argentina, Panama na Ureno, na kuhudhuria mkutano wa 13 wa kilele wa kundi la nchi 20. Kwenye ziara hiyo, rais Xi na mke wake Bibi Peng Liyuan kwa mara nyingine tena walionyesha utamaduni wa China kwa dunia.

    Ziara hiyo imechukua siku 10, safari ya ndege kwa saa 54 na zaidi kilomita elfu 40.

    Siku ya kwanza, ndege ilitua Hispania, rais Xi Jinping na mke wake walishuka kwenye ndege.

    Siku ya mwisho, rais Xi na mke wake walipanda ndege kwenye uwanja wa ndege wa Lisbon, Ureno, kurudi Beijing.

     

    Tarehe 27 hadi tarehe 29, Novemba Hispania

    Mwanamke mwingine kwenye picha ni malkia wa Hispania Letizia Ortiz. Mfalme Felipe VI na mke wake walifanya fungate nchini China.

    Picha ya Malkia Letizia Ortiz anakutana na Bibi Peng Liyuan kwa mara ya kwanza

    Tarehe 30 Novemba, hadi tarehe 2 Desemba, Argentina

    Picha ya marais wa China na Argentina na wake zao

    Picha ya viongozi wote wanaohudhuria mkutano wa kilele wa G20

    Vyombo vya habari vya nchi za nje humsifu bibi Peng Liyuan anaeneza utamaduni wa China. Kwenye sehemu mbalimbali za mkutano wa G20, Bibi Peng Liyuan alichagua nguo zenye mtindo wa kichina.

    Bibi Peng Liyuan alichagua baiskeli iliyotengenezwa China kuwa zawadi kwa mke wa rais wa Argentina.

    Tarehe 3, Desemba Panama

    Bibi Peng Liyuan anakutana na mke wa rais wa Panama, na kuhudhuria shughuli ya kutangaza kinga na tiba ya Ukimwi

    Kwenye mfereji wa Panama, rais Xi Jinping na mke wake Peng Li Yuan wanaagana na meli kutoka China

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako