• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • RIADHA: Mbio za Honolului wanariadha wa Kenya wazidi kung'ara

    (GMT+08:00) 2018-12-10 08:30:24

    Wanariadha 27,000 toka nchi mbalimbali duniani wameshiriki mashindano ya 46 ya riadha ya Honolulu zilizofanyika nchini Marekani jana. Mwanariadha toka Kenya Titus Ekiru amechomoka na ushindi kwa kutumia 02:09:01 kwa upande wa wanaume.

    Kwa upande wa wanawake mkenya mwingine Vivian Jerono Kiplagat ndio mshindi ametumia 02:36:22 huku Sheila Jerotich amekamata nafasi ya pili kwa kutumia 02:42:09

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako