• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Tanzania: Uuzaji nje wa korosho ghafi wapigwa marufuku Tanzania

    (GMT+08:00) 2018-12-10 18:42:33

    Waziri wa viwanda, biashara na uwekezaji wa Tanzania Joseph Kakunda amesema serikali haitaruhu usafirishaji wowote wa korosho ghafi nje ya nchi.

    Amesema kwanza lazima shughuli za ubanguaji wa korosho zifanyike ndani ya nchi ili kulinda hadhi ya viwanda na ajira za watanzania.

    Waziri Kakunda amesema wabanguaji wa zao hilo watatakiwa kushirikiana na serikali ili kufanya shughuli hiyo.

    Serikali inatarajia kukusanya hado tani 200,000 za korosho katka kipindi cha 2018/19.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako