• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais wa Ufaransa atangaza kuongeza kima cha chini cha mshahara kufuatia maandamano ya "Fulana ya Njano"

    (GMT+08:00) 2018-12-11 10:07:01

    Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa ametoa mpango wa dharura wa kiuchumi na kijamii ili kutuliza machafuko yaliyotokana na maandamano ya "Fulana za Njano". Mpango huo ni pamoja na kuongeza kima cha chini cha mshahara na kuwapunguzia kodi watu wanaopewa pensheni.

    Akihutubia taifa kwa njia ya televisheni, rais Macron amewahakikishia kuwa amesikia kilio chao na kukiri kuwa serikali ilishindwa kujibu hoja zao kwa wakati katika mwaka mmoja na nusu uliopita.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako