• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Umoja wa Afrika na SCO wasaini makubaliano ya ushirikiano kuhusu kupambana na ugaidi

    (GMT+08:00) 2018-12-12 09:08:18

    Mashirika ya kupambana na ugaidi ya Umoja wa Afrika na Jumuiya ya ushirikiano ya Shanghai SCO yamesaini makubaliano ya ushirikiano kuhusu kupambana na ugaidi.

    Makubaliano hayo yalisainiwa na mkurugenzi wa Taasisi ya utafiti wa ugaidi ya Umoja wa Afrika Bw. Larry Gbevlo-Lartey, na mkurugenzi wa Kitengo cha kupambana na ugaidi cha Kikanda cha SCO Bw. Yevgeniy Sergeyevich, baada ya majadiliano ya miaka miwili. Makubaliano hayo yametajwa kuwa yataziwezesha pande hizo mbili kushirikiana kupitia kubadilishana uzoefu na utendaji bora katika mapambano dhidi ya ugaidi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako