• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Tanzania: Bandari ya tanga yaboresha huduma kutokana na ukarabati

    (GMT+08:00) 2018-12-12 18:31:10

    Uboreshaji wa bandari ya Tanga nchini Tanzania kumeifanya bandari hiyo kuongoza kwenye kasi ya utoaji huduma kwenye kanda ya Afrika Mashariki.

    Sasa bandari hiyo ina uwezo wa kuhudumia meli nyingi kwa wakati mmoja kwa wastani wa siku mbili na nusu kwa meli yenye tani 40,000 kutoka siku 10 za awali.

    Meneja wa bandari hiyo Percival Salama amesea maboresho hayo yamefanyika kukarabati na ununuzi wa mitambo mipy, ujenzi wa mindo mbinu ya kuhifadhia mizigo na uboreshaji wa mifumo ya Tehama.

    Alisema mbali na kuwa na uwezo wa kuhudumia zaidi ya nchi saba zinazoizunguka Tanzania, bandari ya Tanga ina sifa ya kuwa na kina cha asili cha kuanzia mita tano hadi 30.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako