• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Soka: Timu 16 bora za UEFA Champions League zapatikana

  (GMT+08:00) 2018-12-13 09:16:41

  UEFA Champions League iliendelea usiku wa Disemba 12 huku michezo mingi ya kukamilisha ratiba ikichezwa, tayari timu zilizofuzu kucheza 16 bora ya UEFA Champions League msimu wa 2018/19 zilikuwa zimeshajulikana toka juzi na wengi walikuwa wanasubiria michezo ya kukamilisha ratiba. Tumeshuhudia hatua ya makundi ya michuano hiyo ikimalizika kwa vilabu vya Inter Milan, Pizen, Galatassary, Benfica, Club Brugge, Valencia, Napoli na Shakhtar zikiishia kuangukia katika michuano ya UEFA Europa League.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako