• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Shughuli mbalimbali zafanyika kuwakumbuka wahanga wa mauaji ya Nanjing

    (GMT+08:00) 2018-12-13 14:22:20

    Leo ni Siku ya Taifa ya Kuwakumbuka Watu Waliouawa Katika Mauaji ya Nanjing yaliyotokea miaka 81 iliyopita. Mwezi Februari mwaka 2014, kikao cha saba cha kamati kuu ya 12 ya bunge la umma la China kilipitisha sheria ya kuifanya tarehe 12 Disemba ya kila mwaka kuwa siku ya kitaifa ya kuwakumbuka wahanga hao. Shughuli mbalimbali zinafanyika kote nchini, kwa ajili ya kuwakumbuka wahanga hao.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako