Mkutano wa maadhimisho ya miaka 40 tangu China ifanye mageuzi na kufungua mlango unatarajiwa kufanyika tarehe 18 mwezi huu. Rais Xi Jinping wa China atahudhuria mkutano huo na kutoa hotuba muhimu.
Kituo kikuu cha radio na televisheni cha China na tovuti ya mtandao wa Xinhua zitatangaza mkutano huo moja kwa moja.
© China Radio International.CRI. All Rights Reserved. 16A Shijingshan Road, Beijing, China. 100040 |