Mkutano wa kimataifa wa tatu wa "Kuielewa China" umefunguliwa leo hapa Beijing. Kwenye barua yake ya pongezi aliyotuma kwenye mkutano huo, Rais Xi Jinping wa China amewakaribisha washiriki kutoka sekta za siasa, mkakati, kampuni na wasomi wa nchi mbalimbali.
Rais Xi amewataka washiriki wafanye majadiliano zaidi na kufikia maoni ya pamoja, kuhimiza maelewano kuhusu China, kuisaidia dunia iielewe China zaidi, na kuhimiza ushirikiano na mawasiliano kati ya China na dunia, ili kutimiza maendeleo ya pamoja.
© China Radio International.CRI. All Rights Reserved. 16A Shijingshan Road, Beijing, China. 100040 |