Rais Xi amesema kwenye sherehe ya maadhimisho ya miaka 40 tangu China ianze kutekeleza sera ya mageuzi na kufungua mlango, kuwa kuasisiwa kwa chama cha kikomunisti cha China, kuanzisha Jamhuri ya China na kusukuma mbele sera ya mageuzi na kufungua mlango na ujamaa wenye umaalum wa kichina ni mambo matatu muhimu katika historia ya China tangu mwaka 1919. Pia amema mambo hayo ni minara mitatu muhimu katika ustawi wa China.
© China Radio International.CRI. All Rights Reserved. 16A Shijingshan Road, Beijing, China. 100040 |