Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China na baraza la serikali la China leo zimetoa tuzo ya urafiki ya mageuzi ya China kwa wageni 10, ili kuwashukuru kwa mchango wao wa kuhimiza mawasiliano na ushirikiano kati ya China na nchi za nje, na kushiriki na kuunga mkono mchakato wa mageuzi na kufungua mlango nchini China.
© China Radio International.CRI. All Rights Reserved. 16A Shijingshan Road, Beijing, China. 100040 |