• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Xi Jinping asisitiza umuhimu wa kuimarisha na kuboresha uongozi wa chama

    (GMT+08:00) 2018-12-18 12:30:18

    Katibu mkuu wa Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China Bw. Xi Jinping, leo amesema mafanikio yaliyopatikana katika miaka 40 iliyopita tangu China ianze kutekeleza sera ya mageuzi na kufungua mlango yamethibitisha kuwa, uongozi wa Chama cha Kikomunisti cha China ni alama ya kimsingi na nguvu kubwa zaidi ya ujamaa wenye umaalumu wa China, na kushikilia uongozi huo ni kanuni muhimu ambayo kamwe haitikisiki. Aidha amesema Chama cha Kikomunisti cha China kinapaswa kuongeza uwezo wa utawala na uongozi, ili kuhakikisha China inaendelea kuwa katika njia sahihi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako