Katibu mkuu wa Chama cha Kikomunisti cha China Bw. Xi Jinping leo amesema, sera ya mageuzi na kufungua mlango inapaswa kuzingitia zaidi mambo ya wananchi, na kuendana na matumaini yao, kuheshimu maoni yao, kufuatilia hali zao, na kushugulika na kazi za kuboresha maisha yao.
© China Radio International.CRI. All Rights Reserved. 16A Shijingshan Road, Beijing, China. 100040 |