Rais Xi Jinping wa China leo amesema China inapaswa kuendelea kutoa kipaumbele katika maendeleo, ili kuongeza nguvu ya taifa, kushughulikia vizuri pengo kati ya mahitaji ya maisha bora ya wananchi na hali ya kutokuwepo kwa maendeleo yenye uwiano na ya kutosha, kubadilisha njia ya maendeleo kwa hatua madhubuti na kuboresha muundo wa uchumi, kutekeleza mkakati wa kuhimiza maendeleo kupitia uvumbuzi, na kuimarisha ujenzi wa mazingira.
© China Radio International.CRI. All Rights Reserved. 16A Shijingshan Road, Beijing, China. 100040 |