• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Xi Jinping asisitiza umuhimu wa kufungua mlango zaidi

    (GMT+08:00) 2018-12-18 12:44:26

    Rais Xi Jinping wa China leo amesema China haiwezi kupata maendeleo kama ikijitenga na dunia, na ustawi wa dunia pia hauwezi kupatikana bila China. China inapaswa kushikilia kufungua mlango zaidi, na kuhimiza ujenzi wa jumuiya yenye mustakbali wa pamoja. Amesema, China itahimiza kujenga uhusiano mpya wa kimataifa wenye haki na usawa na wa kuheshimiana, kushirikiana ili kupata mafanikio ya pamoja, kuheshimu haki ya watu wa nchi nyingine ya kuchagua njia ya kujiendeleza, kusaidia nchi zinazoendelea kupata maendeleo, kuunga mkono utaratibu wa biashara wa pande nyingi, na kuanzisha majukwaa mapya ya kimataifa ya ushirikiano haswa pendekezo la "Ukanda Mmoja, Njia Moja".

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako