Rais Xi Jinping wa China leo amesema China inapaswa kushughulikia vizuri uhusiano kati ya mageuzi, maendeleo na utulivu, na China ni nchi kubwa ambayo haitakiwi kufanya makosa makubwa katika masuala kuu. Ameagiza kuhakikisha hatua kubwa za mageuzi zinatekelezwa kihalisi, na kuunganisha juhudi za kuhimiza mageuzi, maendeleo na utulivu.
© China Radio International.CRI. All Rights Reserved. 16A Shijingshan Road, Beijing, China. 100040 |