Rais Xi Jinping wa China leo amesema kuunganisha juhudi za kuendeleza mambo ya kiuchumi na kijeshi, na kujenga uwezo wa kujilinda na majeshi yenye nguvu kulingana na hadhi ya China duniani, mahitaji ya kulinda usalama na maslahi ya China, ni jukumu la kimkakati la China. Pia amesisitiza umuhimu wa kushikilia uongozi wa Chama cha Kikomunisti cha China kwa majeshi katika pande zote.
© China Radio International.CRI. All Rights Reserved. 16A Shijingshan Road, Beijing, China. 100040 |