Rais Xi Jinping wa China amesema China inapaswa kutekeleza mfumo wa kujiendesha katika sehemu za Hongkong na Macao kwa njia sahihi na kwa pande zote. Pia amesisitiza kufuata sera ya kuwepo kwa China moja duniani, na maoni ya pamoja ya mwaka 1992, na kuimarisha na kuendeleza msingi wa uhusiano kati ya China bara na Taiwan, ili kuwanufaisha watu wa pande hizo mbili. Alisema China hairuhuru kamwe vitendo vya kuganywa kwa ardhi yake hata inchi moja.
© China Radio International.CRI. All Rights Reserved. 16A Shijingshan Road, Beijing, China. 100040 |