• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • KENYA: TEKSI ZA KUTUMIA UMEME ZAWASILI NAIROBI

  (GMT+08:00) 2018-12-18 19:25:15

  Ni mwamko mpya katika sekta ya uchukuzi wa teksi baada ya magari ya kutumia nguvu za umeme kuwasili Nairobi. Teksi hizi huenda zikaleta ushindani mkali kkwa sababu hazidhuru mazingira kwa namna yoyote ile.Kampuni ya Finnish EkoRent Nopia Ride imeanzisha huduma za tyeksi kwa kuleta magari yanayotumia nguvu za umeme. Kumekuwa na majaribio ya magari jijini Nairobi huku kukiwa na vituo viwili pekee vya kuviwekea umeme, bila malipo yoyote kwa madereva. Magari haya ambayo hayana injini, yanatumia ishara ya betri kumwashiria dereva endapo gari linastahili kuongezwa nishati. Ili kufurahia huduma za taksi hizi, wateja wanastahili kutumia Nopia Ride mobile App kwenye simu zao.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako