• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mradi wa Kaskazini Tatu wa hifadhi za misitu wa China wainua kiwango cha ardhi kufunikwa na misitu hadi asilimia 13.57

    (GMT+08:00) 2018-12-24 18:55:13

    Mwaka huu ni mwaka wa 40 tangu China ianze kutekeleza mradi wa Kaskazini Tatu wa kujenga hifadhi za misitu katika sehemu za kaskazini, kaskazini mashariki na kaskazini magharibi. Ripoti ya tathimini ya jumla ya mwaka 40 ya mradi huo imetolewa leo, na kuoneysha kuwa, hadi sasa mradi huo umejenga misitu yenye ukubwa wa hekta milioni 30.143, kiwango cha ardhi kufunikwa na misitu imefikia asilimia 13.57 kutoka asilimia 5.05.

    Naibu mkurugenzi wa idara ya misitu na mbuga za nyasi ya China Bw. Liu Dongsheng amesema kuwa, tangu miaka 40 iliyopita mradi huo kutekelezwa, rasilimali ya misitu na nyasi imeongezeka, athari ya dhoruba ya mchanga na mmomonyoko wa ardhi zimedhibitiwa, mazingira ya maumbile yameboreshwa, na kupata ufanisi mkubwa katika maumbile, uchumi na jamii.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako