• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais Xi Jinping wa China atoa salamu za rambirambi kwa mwenzake wa Indonesia kutokana na maafa

    (GMT+08:00) 2018-12-24 19:05:10

    Rais Xi Jinping wa China leo ametoa salamu za rambirambi kwa mwenzake wa Indonesia kutokana na maafa ya dhoruba yaliyotokea hivi karibuni kwenye mlango wa bahari wa Sunda.

    Amesema, anaamini chini ya uongozi wa rais Joko Widodo wa Indonesia na serikali yake, watu wake watashinda changamoto na kufanya ukarabati wa nchi.

    Habari zinasema, dhoruba iliyosababishwa na mlipuko wa volkano katika maeneo ya pwani ya mlango wa bahari wa Sunda, kati ya visiwa vya Java na Sumaatra nchini humo imesababisha vifo vya watu 281 na wengine 1,016 kujeruhiwa.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako