• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Watu wawili wauawa katika shambulizi la kigaidi dhidi ya makao makuu ya wizara ya mambo ya nje ya Libya

  (GMT+08:00) 2018-12-25 19:32:22

  Shambulizi la kigaidi lililotokea katika makao makuu ya wizara ya mambo ya nje ya Libya limesababisha vifo vya watu wasiopungua wawili.

  Shambulizi hilo lilitokea saa 3 asubuhi kwa saa za huko, wakati gari lililowekewa mabomu kulipuka nyuma ya jengo la wizara hiyo., na watu wenye silaha waliingia jengo hilo kupitia mlango wa nyuma na mbele, kupigana vikali na kikosi cha usalama.

  Mmoja aliyeuawa ni mfanyakazi wa wizara hiyo.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako