• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Ujenzi wa mfumo wa kimsingi wa satelaiti wa Beidou No. 3 wa China wakamilika

    (GMT+08:00) 2018-12-27 18:58:05

    Msemaji wa mfumo wa utambuzi wa mahali kupitia satelaiti wa Beidou No. 3 wa China Bw. Ran Chengqi hapa Beijing ametangaza kuwa, mfumo wa kimsingi wa Beidou No. 3 umekamilika na umeanza kutoa huduma duniani kuanzia leo, hii inamaanisha kuwa mfumo wa Beidou umepanua huduma zake kwa dunia nzima.

    Mfumo wa satelaiti ya Beidou ilijengwa na China na kufanya kazi kwa kujitegemea, ambao unaweza kushirikiana na mifumo mingine ya utambuzi wa mahali duniani, na kutoa huduma za kiwango cha juu duniani wakati wowote kwa watumizi wa aina mbalimbali.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako