• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Ivo ambaye ni Mkurgenzi wa kituo hicho kinachoitwa Ivo Mapunda Sports Center

  (GMT+08:00) 2019-01-07 08:54:51

  Idhaa ya Kiswahili Radio China Kimataifa imezungumza na Golikipa mstaafu wa timu ya taifa ya Tanzania Ivo Mapunda katika kipindi cha Michezo kuhusu maendeleo ya kituo chake cha kukuza vijana upande wa soka.

  Ivo ambaye ni Mkurgenzi wa kituo hicho kinachoitwa Ivo Mapunda Sports Center ameeleza kuwa malengo ya kuanzisha kituo hicho ni kukuza vipaji vya watoto ili kutimiza ndoto zao za kuja kuwa wanandinga wa baadaye na kuwa hazina ya taifa siku za mbele.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako