• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Bei ya mafuta ya taa na mkaa yapanda Kenya

    (GMT+08:00) 2019-01-07 18:47:47

    Mafuta ya taa na mkaa zilikuwa miongoni mwa bidhaa mbazo zilipanda mwaka jana na kuwafanya wakenya wengi ambao ni masikini kuwa na wakati mgumu. Shirika la takwimu nchini Kenya limesema bei ya mkaa iliongezeka kwa asilimia 70 na kufikia 141 kwa kilo nne katiika mwezi wa Disemba. Bei ya mafuta ya taa pia iliongezeka kwa asilimia 46 na kufikia shilingi 106 kwa lita moja.

    Kupanda kwa bei ya mkaa kunahusishwa na kupigwa marufuku kwa ukataji wa miti huku kwa upande wa mafuta ya taa ukihusishwa na kuongezeka kwa kodi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako