• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Kombe la Mapinduzi Zanzibar: Yanga yafungashiwa virago

  (GMT+08:00) 2019-01-08 09:38:23
  Timu ya Yanga ya Dar es Salaam, imetupwa nje ya michuano ya kombe la Mapinduzi inayoendelea Zanzibar baada ya kuchapwa 2-1 na timu ya Malindi katika mchezo wa kundi B usiku wa jana uwanja wa Amani.

  Malindi SC inaungana na Azam FC ambayo imeichakaza KVZ magoli 2-1 na kutinga nusu fainali ya michuano hiyo ya 13 ya Mapinduzi.

  Kutoka kundi A, Simba SC ya Dar es Salaam ilijikatia tiketi ya nusu fainali juzi baada ya kuifunga KMKM kwa goli 1-0.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako