• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • COMESA yapata ongezeko la uwekezaji wa nje wa moja kwa moja

    (GMT+08:00) 2019-01-08 20:22:27
    Kanda ya soko la kusini na Afrika Mashariki COMESA lilipata ukuaji wa asilimia 3.6 ya uwekezaji wa moja kwa moja mwaka 2017 wakati maeneo mengine ya Afrika yakishuhudia upungufu.

    Ripoti ya uwekezaji kwenye kanda hiyo inaonyesha kuwa uliongezeka kutoka dola bilioni 18.6 hadi dola bilioni 19.3.

    Ongezeko hilo linawakilisha ukuaji wa asilimia 46 ya uwekezaji wa kutoka nje ya Afrika.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako