• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Federer ashinda kombe la Hopman

  (GMT+08:00) 2019-01-09 09:50:52
  Roger Federer na Belinda Bencic kutoka Uswisi waliwabwaga Wajerumani Alexander Zverev na Angelique Kerber katika fainali ya kombe la Hopman kwenye mchezo wa tennis, iliyochezwa mwishoni mwa wiki.

  Kwengineko mchezaji nambari moja wa zamani Karolina Pliskova alitoka chini kwenye mechi yake ya fainali ya Bribane International aliyokuwa anacheza na Lesia Tsurenko na kushinda kwa seti tatu za 4-6 7-5 6-2 hapo jana.

  hii ndiyo makala ya mwisho ya kikombe hicho cha Hopman Cup kwa kuwa inafutiliwa mbali kutoka kwenye kalenda ya mashindano ya mchezo wa tennis.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako