• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Watu watatu wafariki na wengine 620 kujeruhiwa katika ajali ya treni nchini Afrika Kusini

  (GMT+08:00) 2019-01-09 20:13:24

  Watu watatu wamefariki na wengine 620 kujeruhiwa baada ya treni mbili za abiria kugongana jana asubuhi nchini Afrika Kusini.

  Treni hizo ni za kampuni ya Metrorail inayotoa huduma ya usafiri kati ya miji mikubwa nchini Afrika Kusini. Msemaji wa kampuni hiyo Bi Lilian Mofokeng amesema, treni hizo zilizokuwa na abiria 800 zilisafiri kwenye njia moja kutoka Pretoria hadi Mabopane na ziligongana kwenye kituo cha Mountain View huko Pretoria.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako