• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • SOKA: Kombe la Mapinduzi: Azam FC na KMKM, Simba SC na Malindi nusu fainali, Yanga yaaga mashindano kibabe

  (GMT+08:00) 2019-01-10 10:38:39

  Ushindi wa goli 3-0 waliopata Yanga haujawasaidia kuingia nusu fainali ya kombe la Mapinduzi baada ya kuzidiwa pointi na Azam FC, Malindi na Jamhuri.

  Azam FC itamenyana na KMKM katika nusu fainali ya kwanza majira ya saa 10 jioni saa za Afrika Mashariki huku Simba SC itavaana na Malindi SC katika mechi ya pili ya nusu fainali ya kombe la Mapinduzi uwanja wa Amani mjini Zanzibar itakayopigwa saa 2 usiku.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako