• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Namibia yapiga marufuku uagizaji wa nyama kutoka nchini Afrika Kusini

  (GMT+08:00) 2019-01-10 19:47:19

  Namibia imepiga marufuku uagizaji wa nyama kutoka nchini Afrika Kusini kutokana na kuzuka kwa ugonjwa wa mguu na mdomo.

  Wizara ya mifugo nchini humo imesema ugonjwa huo umezuka kwenye eneo la kaskazini mwa Afrika Kuisni katika mkoa wa Limpopo.

  Kwa kawaida binadamu hawezi akaabukizwa ugonjwa wa mguu na mdomo lakini ni hatari kwa mifugo kama vile ng'ombe, mbuzi na kondoo.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako