• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • SOKA: Kombe la Coppa Italia, hatua ya 16 bora kuanza kukipiga leo

    (GMT+08:00) 2019-01-14 08:50:33
    Hatua ya 16 bora ya kombe la Coppa Italia inaanza kutimua vumbi leo, ikiwa na timu 2 zinazotoka Serie C zitakutana na Vilabu vya Serie A. Novara watakutana na Lazio huku Virtus Entella watacheza na AS Roma.

    Benevento yenyewe imesafiri kuelekea Milan watakutana na Inter Milan, nayo Bologna itavaana na bibi kizee wa Juventus mechi ambayo itakuwa ya kuvutia zaidi huku macho ya mashabiki yakielekezwa kwa Christiano Ronaldo atakayeongoza kikosi cha Juventus.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako