• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Watu mashuhuri wa "Njia Hariri" watembelea Shirika la dini ya kiislamu mkoani Xinjiang

    (GMT+08:00) 2019-01-14 19:28:33

    Shughuli ya saba ya watu mashuhuri wa Njia Hariri kutembelea China inayoandaliwa na Kituo Kikuu cha Redio na Televisheni cha China imefanyika hivi karibuni.

    Wanahabari kutoka vyombo maarufu vya habari vya nchi sita za "Ukanda Mmoja na Njia Moja", zikiwemo Uturuki, Misri, Afghanistan, Pakistan, Bangladesh, Sri Lanka wametembelea Shirika la dini ya kiislamu na wakifahamishwa kuhusu sera ya uhuru wa kidini ya China.

    Aidha, wanahabari hao wamefanya mazungumzo na mkuu wa Shirika la dini ya kiislamu la China Bw. Abudulrekep Tumniaz.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako