• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China na Finland zaapa kuandika ukurasa mpya wa uhusiano wa pande mbili

    (GMT+08:00) 2019-01-14 21:12:25

    Rais Xi Jinping wa China na mwenzake Sauli Niinisto wa Finland aliyeko ziarani hapa China wamekubaliana kufanya kazi kwa pamoja ili kuandika ukurasa mpya wa uhusiano wa pande hizo.

    Marais hao wamefikia makubaliano hayo wakati wa mazungumzo yao leo hapa Beijing.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako