• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • SOKA: Ligi kuu ya wanawake Tanzania Bara: Simba Queens yatoa dozi kwa Yanga Princess

    (GMT+08:00) 2019-01-15 08:34:41
    Timu ya Simba ya wanawake imetoa dozi ya wiki nzima ya magoli 7-0 kwa timu ya Yanga ya wanawake ambao ni wapinzani wa jadi kama ilivyo kwa timu hizo za wanaume katika mchezo wa ligi kuu ya wanawake uliochezwa uwanja wa Karume jijini Dar es Salaam.

    Ushindi huo unaifanya Simba Queens kufikisha alama 13 baada ya kucheza mechi tano na kupanda kileleni mwa ligi hiyo ikiwazidi alama moja mabingwa watetezi wa ligi hiyo JKT Queens ambao wanamchezo mmoja mkononi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako