Sheria hizo zilitolewa hivi karibuni zilisambazwa na shirikisho la Taekwondo duniani (WTF) kwa semina ya mwezi mzima kwa wakufunzi wa kimataifa kutoka nchi zaidi ya 50 duniani zinazoshiriki mchezo huo.
Akizungumzia mafunzo hayo mratibu David Samson amesema mafunzo hayo yatafanyika jijini Arusha kuanzia Januari 20 hadi 27 na wakufunzi ni wenyeji Tanzania, wakisaidiana na wakufunzi kutoka Ethiopia na Korea.
© China Radio International.CRI. All Rights Reserved. 16A Shijingshan Road, Beijing, China. 100040 |