• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • SOKA: KRC Genk yakataa Bilioni 34.3 ili kumuachia Samatta

  (GMT+08:00) 2019-01-15 08:37:09

  Nahodha wa timu ya taifa ya Tanzania (Taifa Stars) anayecheza soka la kulipwa katika klabu ya KRC Genk ya Ubelgiji Mbwana Ally Samatta baada ya kiwango chake kuzidi kupanda na kuwa kinara wa ufungaji magoli katika ligi kuu ya Ubelgiji (Jupiter Pro League), klabu ya Cardiff City ya Uingereza imeanza kutega rada yake ili kumnasa mshambuliaji huyo.

  Cardiff wametuma ofa ya paundi milioni 11.6 ambazo ni zaidi ya shilingi bilioni 34.3 za Kitanzania kwa klabu ya KRC Genk ili kumpata mchezaji huo, lakini dau lao hilo limekataliwa na klabu ya Samatta.

  Samatta ameshafunga jumla ya magoli 24 msimu hii akicheza michezo 31.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako