• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • KIKAPU: Kyrie Irving amvaa Gordon Hayward kwa uamuzi wake wa kutoa pasi badala ya kufunga

    (GMT+08:00) 2019-01-15 08:37:43
    Mlinzi wa timu ya Celtics Kyrie Irving hakuweza kustahimili hasira zake kwa umauzi wa mchezaji mwenzake Gordon Hayward kwa kushindwa kufunga na badala yake alilekea kwenye kona na kumpasia mchezaji mwingine wa timu yao Jayson Tatum na kudai kuwa kwa kufanya hivyo kumechangia timu yao kupoteza mchezo katika ligi ya kikapu ya Marekani (NBA) uliomalizika kwa Celtics kupoteza 105 -103 dhidi ya timu ya Magic.

    Mara baada ya mchezo kumalizika, Irving alimfuata Hayward na kumfokea kwa kitendo chake kilichosababisha walinzi wa timu pinzani kuweza kuokoa goli kwa urahisi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako